JEFF FLEISHERSUMMER LANGUAGE STUDY OF SWAHILI IN TANZANIA 1996 TRAVEL TO MEETINGS 1995, 1998, 2000
Ahsante sana kwa msaada wako. Bila ya pesa za afisi yako, singaliweza kuanza au kumaliza utafiti yangu kule Kisiwa cha Pemba, Tanzania. Katika picha hii, nilikwenda kuangalia magofu moja ya Pemba kwa dau. Tena, nashukuru sana.
Thank you so much for your assistance. Without the funding from your office, I wouldn't have been able to begin or finish my research on Pemba Island, Tanzania. In this picture, I was traveling by dugout canoe to see some ruins of Pemba. Again, thank you very much. Jeff Fleisher | ||||
|
| ||||